MwanaKijiji.COM

Wednesday
Feb 08th
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home arrow Entertainment arrow Burudani arrow Buriani mzee Pwagu
Buriani mzee Pwagu
(4 votes)
Written by M. M. Mwanakijiji   
Sunday, 30 May 2010
Mzee Pwagu wa kundi la Pwagu na Pwaguzi amezikwa leo JIjini Dar na mamia ya waombolezaji ambao bado wanakumbuka burudani ya pekee aliyoweza kuitoa katika maisha yake kwa mamilioni ya Watanzania kufuatia kudumu katika burudani ya maigizo na vichekesho radioni kwa miaka mingi. 

Aliyekuwa msanii mkongwe wa maigizo hapa nchini, Rajabu Hatia ‘Mzee Pwagu’ jioni hii amezikwa kwenye makaburi ya Kigogo CCM jijini Dar es Salaam baada ya kufariki duania jana kutokana na ugonjwa wa
kwikwi aliokuwa akitibiwa katika Hospitali ya Amana jijini Dar. Mazishi
hayo yalihudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo wasanii wa filamu na
maigizo. Pichani, Mzee Magali akiwa na jeneza lenye mwili wa marehemu wakati akiwaongoza waombolezaji kuelekea makaburini.


Safari nya makaburini.

Mzee Small (kushoto) na Kingwendu wakiwa msibani hapo.

Msanii wa kundi la Comedy Orijino, Joti (kushoto) akiwa na wasanii wenzake Swebe na Mzee Magali (kulia) wakibadilishana mawazo msibani.

Bi. Mwenda (kushoto) akiongea jambo na waombelezaji.

Mwili wa marehemu ukiingizwa kaburini.

Waombolezaji wakifukia mwili wa marehemu.

Marehemu Rajabu Hatia ‘Mzee Pwagu’

PICHA: RICHARD BUKOS /GPL
Comments (1)add comment
Simon Mkina: ...
RIP

Lala salama Mzee Pwagu. Kazi uliyoifanya yatosha na huko uendako yawezekana ukajiongezea umarufu zaidi na kuthaminiwa kuliko hapa duniani kulikojaa mazonge na dhuluma, siyo kwa wasanii pekee, bali kwa watu wa kila kada
1

June 16, 2010
Votes: +0

Write comment

busy
 
Ni nani anafaa kuingoza Tanzania kama Rais kuanzia 2010-2015?
 

Photo Albums

Just $6.95/Mo
Unlimited Space, Unlimited Transfer, Free Domain
www.bluehost.com

MwanaKijiji.COM LIVE

Window Player   RealAudioPlayer   Itune Player