MwanaKijiji.COM

Friday
May 18th
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home arrow Entertainment arrow Eti Johari ndo anayeongoza?
Eti Johari ndo anayeongoza?
(2 votes)
Written by darhotwire.com   
Wednesday, 14 January 2009
Ni Blandina Chagula maarufu kama Johari inasemekana ndio muigizaji wa kike anayeongoza kwa kulipwa mkwanja mnene katika tasnia hiyo ya filamu

Kwa mujibu wa Gazeti la Bab kubwa linadai mdada huyo ambaye ameshashiriki katika filamu 18 hadi sasa anawaburuza wenzie wote kwa kulipwa vyema

Baadhi ya movie ambazo ameshafanya Johari ni pamoja na Cold wind,shakira, Yellow banana , Point of No Return na nyengine kibao.

Sasa Kibongo Bongo sijui jamaa wamethibitishaje hili kwa kucheki vitu anavyomiliki, labda ana mjengo au anamiliki gari la maana au ana pesa ya maana Bank??

Sie tusitie neno na tunampa hongera kwa mafanikio hayo kama yapo kama tulivyoelezwa na aendelee kukaza buti japo hata tuzo hana.
Comments (2)add comment
msambatavango: ...
Wabongo Bwana!, kipimo cha msanii kulipwa vizuri ni kuvaa mikufu ya dhahabu, kumiliki balloon, kuvaa nguo za garama ( kwa viwango vya TZ) na kupanga nyumba sinza. Mtizamo wangu bado hakuna msanii aliyetoka
1

January 28, 2009
Votes: +1
Grace willson: ...
Hadi mwaka huu 2012 me sjui kama kuna mshahara wa wasanii wa kike.
2

April 30, 2012
Votes: +0

Write comment

busy
 

Photo Albums