MwanaKijiji.COM

Wednesday
Feb 08th
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home arrow Entertainment arrow Burudani arrow Kikwete ala "lunch" na wasanii
Kikwete ala "lunch" na wasanii
(0 votes)
Written by Michuzi Jr   
Thursday, 15 July 2010

rais kikwete akutana wasanii nyota wa bongo fleva dodoma


JK akisalimiana na Ruge Mutahaba ambaye ni kiongozi wa Nyumba ya Vipaji (THT) ambaye yuko Dodoma na wasanii nyota kibao ambao watatumbuiza wikiendi hii kwenye Fiesta 2010. Jana JK aliwaalika Ikulu Ndogo ya Chamwino na kupata nao dina la mchana
JK akisalimiana na Chegge
JK akisalimiana na Fid Q JK na Cpwaa JK na Mh. Temba
JK akipeana mikono na Dully Sykes
JK na Mwanafalsafa
JK na Barnaba wa THT
JK na wasanii
JK akisalimiana na Fellah, kiongozi wa Wanaume TMK
JK na mwamba wa Kaskazini Joe Makini
JK na Kr Mulla wa TMK Wanaume
JK akisalimiana na Marlaw
JK akisalimiana na msanii Lina wa THT
Mama Salma Kikwete akimsalimu Marlaw
Mama Salma Kikwete akisalimia wasanii

Comments (0)add comment

Write comment

busy
 
Ni nani anafaa kuingoza Tanzania kama Rais kuanzia 2010-2015?
 

Photo Albums

Just $6.95/Mo
Unlimited Space, Unlimited Transfer, Free Domain
www.bluehost.com

MwanaKijiji.COM LIVE

Window Player   RealAudioPlayer   Itune Player