Pope Benedict XVI says the Church's child abuse scandal shows that the greatest threat to Catholicism comes from "sin within" the Church. He made his comments in response to a question while en route to Portugal. Critics have previously accused the Vatican of attempting to blame the media and the Church's opponents for the escalation of the scandal.But the Pope made clear its origin came from within the Church itself, and said forgiveness "does not replace justice"
BARAZA kuu la Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) linakutana leo kujadili hatma ya mgomo wa wafanyakazi ulioahirishwa kusubiri mazungumzo na serikali.Kikao hicho kinaitishwa siku tatu baada ...
Tangu Rais Kikwete azungumze kwa jazba na hamasa kubwa akibeza juhudi za wafanyakazi wa Tanzania chini ya TUCTA (Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi) kudai haki zao watu mbalimbali wamekuwa wakitoa ma...
Katika kile kinachoonesha kuwa hatimaye mgomo uliotarajiwa kufanyika kuanzia Mei Tano hauepukiki Rais Kikwete leo amezungumza na wazee wa JIji la Dar ambapo ametumia fursa hiyo kutupilia mbali hoja za...