Tukiangalia jinsi gani jamii yetu inavyobadilika tunaweza kuona kuona kuwa vijana wetu na hata walio wazee wanaamini kuwa namna ya kuoneshana mapenzi kunakofanywa na wazungu ndio bora zaidi na hivyo hata sisi Waafrika ni vizuri kujifunza na namna hiyo. Kuanzia mavazi, maneno, mapenzi na vikolombwezo vingi vya mapenzi leo hii tunaiga ni vile vya kizungu (kimagharibi). Hili linafungua mjadala wetu wa leo katika Gumzo la Mapenzi; je namna mahaba ya nchi za kimagharibi ni bora zaidi kuliko yale ya kiafrika? Karibuni.
Tovuti nzima ya mwanakijiji.com, wasomaji wa "Cheche za Fikra" na mashabiki wetu wote tunapenda kuwatakia ndugu zetu Waislamu wote pote Tanzania heri ya siku kuu ya Idd El Fitr kufuatia kuma...
Kwa niaba ya timu nzima ya mwanakijiji, wasomaji wa Cheche, mashabaki na wakosoaji wetu tunapenda kuwatakia ndugu zetu Waislamu mahali popote walipo mfungo mwema wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani.Mwezi hu...
ASKARI anayetuhumiwa kuwapiga picha za uchi mwanafunzi wa Shule ya Msingi Kurasini Dar es Salaam na mama mjamzito mwishoni mwa wiki amejitokeza na kukiri kosa na kuwaomba radhi walalamikaji kwa maelez...
Remember that Hilaire Belloc cautionary tale - Matilda told such dreadful lies, it made one gasp and stretch one’s eyes? I used to love it as a child when telling lies was one of the naughtiest ...
If you're wondering why North America is starting to resemble nuclear winter, then you missed the news. At December's U.N. Global Warming conference in Poznan, Poland, 650 of the world's t...
A gunman shot and killed the outspoken editor of a newspaper that often clashed with politicians on Thursday in the second assault on the media on the Indian Ocean island in three days. Sunday Leader ...
Channel 4 was accused of causing international offence last night for inviting the president of Iran to give an alternative Christmas Day message. Viewers saw Mahmoud Ahmadinejad claim that if Christ...
Kundi zima la mwanakijiji.com tunapenda kuwatakia wanachama wote, marafiki, jamaa na wageni wetu wote siku kuu njema ya Krismasi, siku ambayo Wakristu wa Tanzania wanaungana na wakristu wengine dunian...