MwanaKijiji.COM

Friday
Jul 30th
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home arrow LifeStyle arrow Maisha arrow Mtanzania afariki Italia
Mtanzania afariki Italia
(0 votes)
Written by Jumuiya ya Watanzania Italia   
Sunday, 23 November 2008
News Alert ABDALLAH MJUME aka DULLAH au Jr, amefariki leo jumapili asubuhi katika nyumba aliyokuwa akiishi. Sababu ya kifo chake bado haijajulikana,ila taarifa fupi kutoka kwa watu waliokuwa nae inasema kuwa Dullah alikuwa Disco kabla ya kufariki. Wakati huo huo Katibu wa jumuiya ya watanzania anawatangazia watanzania wote wanaoishi Napoli kuwa kutakuwa na mkutano siku ya jumatatu saa kumi jioni kwa ajili ya taarifa kamili ya msiba na mipango ya mazishi,wote mnatakiwa kufika bila kukosa. (INALILLAH WAINA ILAH-RAJ'UN) RIP.
Comments (2)add comment
Mchungaji Ladslaus: ...
Mungu aliyemuumba ABDALLAH MJUME aka DULLAH au Jr, hatimaye amemrudisha kwake, Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana Yesu libarikiwe. Amen.
1

November 23, 2008
Votes: +1
kurutamatata: ...
Tunawapa Pole Watanzania wote mnaoishi Italia na kwa wafiwa wote.Tupo nanyi kwa majonzi
katika wakati huu mgumu.Kazi ya Mungu haina makosa.Sote tuko njiani,mwenzetu katangulia tu!
Poleni sana.
2

November 28, 2008
Votes: +1

Write comment

busy
Last Updated ( Sunday, 23 November 2008 )
 
Just $6.95/Mo
Unlimited Space, Unlimited Transfer, Free Domain
www.bluehost.com

MwanaKijiji.COM LIVE

Window Player   RealAudioPlayer   Itune Player