|
Written by M. M. Mwanakijiji
|
|
Sunday, 23 August 2009 |
Kwa niaba ya timu nzima ya mwanakijiji, wasomaji wa Cheche, mashabaki na wakosoaji wetu tunapenda kuwatakia ndugu zetu Waislamu mahali popote walipo mfungo mwema wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani.Mwezi huu utuletee sisi sote nafasi ya kujichunguza maisha yetu, kupima makusudio yetu na dhamira ya kweli ya kuushinda uovu ndani mwetu na katika jamii yetu. Amin.
|
|
Last Updated ( Sunday, 23 August 2009 )
|