MwanaKijiji.COM

Friday
Jul 30th
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home arrow LifeStyle arrow Maisha arrow Tunaiga sana mahaba ya kizungu?
Tunaiga sana mahaba ya kizungu?
(5 votes)
Written by M. M. Mwanakijiji   
Monday, 21 December 2009
ImageTukiangalia jinsi gani jamii yetu inavyobadilika tunaweza kuona kuona kuwa vijana wetu na hata walio wazee wanaamini kuwa namna ya kuoneshana mapenzi kunakofanywa na wazungu ndio bora zaidi na hivyo hata sisi Waafrika ni vizuri kujifunza na namna hiyo. Kuanzia mavazi, maneno, mapenzi na vikolombwezo vingi vya mapenzi leo hii tunaiga ni vile vya kizungu (kimagharibi). Hili linafungua mjadala wetu wa leo katika Gumzo la Mapenzi; je namna mahaba ya nchi za kimagharibi ni bora zaidi kuliko yale ya kiafrika? Karibuni.
Comments (1)add comment
Kama: ...
Viongozi wa wajuu wote serikalini ni wakoloni wanaishia na kufanya shughuli zao kwa ku-copy na ku-paste...Angalia Chenge ametuhakikisha mtindo wa viongozi kuwa wabadala wa wakoloni.....Hivyo mwananchi wa kawaida role modal wao ni viongozi wa siasa... Hivyo hakuna ajabu kutokea hayo Mwanakijiji kwa wananchi wa kawaida
1

December 24, 2009
Votes: +0

Write comment

busy
 
Just $6.95/Mo
Unlimited Space, Unlimited Transfer, Free Domain
www.bluehost.com

MwanaKijiji.COM LIVE

Window Player   RealAudioPlayer   Itune Player