Waziri Mkuu wa zamani wa Tanganyika na mpigania huru wa Afrika na mmoja wanaharakati wa ukombozi kusini mwa Afrika na Muasisi wa Muungano mzee Rashid Mfaume Kawawa amefariki dunia. Habari za kifo chake zimetangazwa rasmi na Rais Kikwete leo akilihutubia Taifa ambapo pia ametangaza kuanza rasmi kwa siku saba za maombolezo ya Kitaifa. Mzee Kawawa alikuwa ni mmoja wa viongozi waliopendwa, kuheshimika na waliolitumikia taifa kwa muda mrefu. Mzee Kawawa alikuwa ni swahiba wa karibu zaidi wa baba wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere. ...
Aliyekuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo la Dar-es-Salaam ambaye sasa amehamishiwa huko Bukoba Mha. Methodius Kilaini amewaaga waumini wa Kanisa Katoliki wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar-es-Salaam kwa kusema ku...
Mvua kubwa imenyesha sehemu mbalimbali nchini siku ya Krismasi na kusababisha hofu ya mafuriko na hata maafa. Habari mbalimbali kuanzia Mwanza, Dar-es-Saalam, Songea na mikoa mingine zinahabarisha kuw...
Kutoka KLHN na kutoka kwangu binafsi tunapenda kuwatakia wasomaji wetu, wanachama, mashabiki na wakosoaji wetu wote heri ya siku kuu ya Noeli na Mwaka mpya wa 2010 mwaka ambao tunaamini mabadiliko mak...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mhe. Jakaya Kikwete amewatunukia vyeo maafiwa wapya wa Jeshi la Wananchi katika tukio lililofanyika kwenye C...
Rais Jakaya Kikwete ametaka mipango yoyote ya kufanya maandamano ya kumuunga mkono kama ilivyopangwa na taasisi mbalimbali za kidini isitishwe. Kwa mujibu wa vyanzo vya karibu vya taasisi hizo Rais Ki...
MTANDAO mpya wa kumsafisha na kumjenga upya kisiasa Rais Jakaya Kikwete umeandaliwa, ukiwahusisha wanasiasa wa vyama mbalimbali, wanahabari na baadhi ya wanaharakati, Tanzania Daima imegundua. Katika ...
THE Manager in-charge at the Kleins Camp tourist facility has mysteriously vanished, amid allegations of illegal hunting activities. Kleins Camp which is located near Ololosokwan Village, in Loliondo ...
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Burundi Brig. Gen (mstaafu) Francis Mndolwa amestaafu baada ya kufikisha umri wa kustaafu kwa watumishi wa serikali. Nafasi yake inachukuliwa na Dr. James Nzagi amb...