MwanaKijiji.COM

Friday
Jul 30th
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home arrow National arrow Lake Zone
Lake Zone
Masha awakwepa albino Mwanza?
(0 votes)
Monday, 10 August 2009
Maalbino wamewataka Waziri wa Mambo ya Ndani, Laurence Masha na Mbunge wa Ukerewe, Getrude Mongella, kumrejea Mungu kutokana na kudaiwa kuwalaghai. Shutuma hizo zilitolewa na wanachama wa Chama cha Albino Mkoa wa Mwanza (TAS), walipotembelewa na waandishi wa habari. Mwenyekiti wa Tas, Alfredy Kapole, alisema Masha amekuwa akitoa matamko ya kulinda albino wakati hata idadi yao walioko Mwanza haijui.
 
Wauawa kwa tuhuma za kuiba ng’ombe
(0 votes)
Wednesday, 14 January 2009
Watu watatu wamefariki dunia wilayani hapa baada ya kushambuliwa na kundi la wananchi wakituhumiwa kuiba ng’ombe na kisha kuwachinja. Tukio hilo lilitokea jana katika kijiji cha Nyakaduha, Kata ...
 
Walinzi washikiliwa kwa kushirikiana na majambazi kuvamia mgodi
(0 votes)
Wednesday, 14 January 2009
Polisi mkoani Shinyanga inawashikilia walinzi wawili wa Kampuni ya kuchimba Almasi ya El-Hilal kwa tuhuma za kushirikiana na majambazi kuvamia mgodi kwa kutumia silaha. Taarifa iliyotolewa na Kamanda...
 
Barrick suspends North Mara operations
(2 votes)
Sunday, 14 December 2008
Barrick suspends North Mara operations
Barrick Gold said on Friday it had suspended operations at its North Mara mine in Tanzania after about 200 people charged the mine and clashed with security personnel, causing about $15 million in da...
 
Polisi yatangaza vita na majambazi
(1 vote)
Monday, 03 November 2008
Mwanza-JESHI la Polisi mkoani Mwanza, limetangaza vita dhidi ya Watanzania na raia wanaotoka nchi jirani na kujihusisha na vitendo vya ujambazi, wilayani Geita, mkoani hapa na kwamba ...
 
Moto kituo cha Mafuta Mwanza wazimwa
(1 vote)
Monday, 27 October 2008
Moto kituo cha Mafuta Mwanza wazimwa
Vikosi vya zimamoto na wananchi wa mji wa Mwanza wakiongozwa na Mkuu wa Polisi wa Mkoa huyo Bw. Rwambow wamefanikiwa kuzima moto mkubwa uliotokea kwenye kituo cha mafuta kilichoko barabara ya Nyerere ...
 
Padre auawa Maswa
(0 votes)
Saturday, 19 January 2008
WATU wanaodhaniwa kuwa majambazi, wanadaiwa kumuua kwa kumpiga nondo kichwani na risasi katika mguu wake wa kushoto, Padri Angelo Nkuba wa Kanisa Katoliki, Parokia ya Sayusayu wilayani hapa Mkoa wa Sh...
 
Just $6.95/Mo
Unlimited Space, Unlimited Transfer, Free Domain
www.bluehost.com

MwanaKijiji.COM LIVE

Window Player   RealAudioPlayer   Itune Player