|
Monday, 14 January 2008 |
|
MWANDISHI wa Habari Msaidizi wa Rais, Maura Mwingira, amehamishiwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, imefahamika. Hata hivyo, katika taarifa yake ya kuhamishwa huko kutoka Ikulu na kuwashukuru wahariri na waandishi wa vyombo vyote vya habari nchini kwa msaada wao wakati wote aliposhika wadhifa huo, Mwingira hakueleza nafasi atakayokuwa nayo akiwa Wizara hiyo. Mwingira aliteuliwa na Rais Benjamin Mkapa kushika nafasi hiyo Aprili mwaka 1998 akitokea Idara ya Habari (MAELEZO), na kwenda kuwa msaidizi wa Mwandishi wa Rais, Geofrey Nkurlu, ambaye kwa sasa ni marehemu. Tangu kifo c... |
|
|
Sunday, 13 January 2008 |
|
Irish Prime Minister Bertie Ahern will arrive in Cape Town on Sunday as part of a five-day visit to South Africa and Tanzania, his office said. Accompanied by representatives of over 50 companies fr... |
|
|
Friday, 11 January 2008 |
|
TAASISI za Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru) kwa kushirikiana na uongozi mpya wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), wameanza kuchunguza ajira za watoto wa vigogo wa serikali zaidi ya 17 amba... |
|
|
Thursday, 10 January 2008 |
|
Serikali ya Marekani imempongeza Rais Kikwete kwa hatua yake ya kumwondoa kazi Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Bw. Daudi Balali na kuagiza kuchukuliwa hatua za kisheria kwa wale waliohusika na wizi wa... |
|
|
Thursday, 27 December 2007 |
|
Tanzania said it would close camps housing more than 200,00 refugees displaced by war in Burundi and the Democratic Republic of Congo by June 2008. In the last two years, the government managed to clo... |
|
|
Wednesday, 26 December 2007 |
|
MUMBAI: The Anil Ambani-controlled Reliance Energy (REL), which is in the race for Tuas Power of Singapore and a green-field project in Bahrain, is now planning to foray into Africa. The company is be... |
|
|
<< Start < Prev 21 22 23 24 25 26 Next > End >>
|
| Results 226 - 231 of 231 |