MwanaKijiji.COM

Monday
May 21st
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home arrow Siasa
Siasa
"Katiba Mpya kwa miaka 50 ijayo" JK - Salamu za 2011
(2 votes)
Friday, 31 December 2010
Rais Kikwete amesema kuwa serikali yake imekubali kimsingi hoja ya kuangalia Katiba yetu ili hatimaye tuweze kuwa na Katiba inayokidhi mahitaji yetu. Rais Kikwete amesema hayo katika salamu zake za Mwaka mpya leo Ijumaa. Kukubali kwa Rais Kikwete na serikali yake ni jaribio la kuepusha mgongano ambao ulikuwa unakuja mbele ambapo vyama vya siasa na wananchi wamekuwa wakipaza sauti kutaka Katiba yao iangaliwe upya na hata kuwa na Katiba Mpya. Hata hivyo, Rais hajaweka muda maalum wa kumaliza mchakato huo ambao ameuahidi kuanza mara moja na badala yake ameacha jukumu hilo kwa Tume ya Kupitia Kati...
 
Dr. Slaa kuiteka Dar Jumamosi
(2 votes)
Friday, 06 August 2010
Dr. Slaa kuiteka Dar Jumamosi
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia ambaye pia ni mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Dr. Wilbrod Slaa anatarajia kuwasili Jijini Dar-es-Salaa...
 
CCM Polls: How the Heavyweights have fallen
(1 vote)
Monday, 02 August 2010
CCM has announced more results from the preferential vote held on Sunday countrywide to pick flag bearers for Members of Parliament in the coming October general election. However, the final decisio...
 
CCM na Rushwa, hatimaye kuku wamerudi kutamia!
(0 votes)
Thursday, 29 July 2010
CCM na Rushwa, hatimaye kuku wamerudi kutamia!
Tumepiga kelele kwa miaka minne na kelele zetu zimebatizwa kuwa ni "chuki binafsi". Tumewapigia mbiu waamke lakini panda zetu zimekuwa ni "kelele za mlango" ambazo hazimzuii mwen...
 
Dr. Slaa mgombea Urais wa Chadema 2010
(3 votes)
Tuesday, 20 July 2010
Dr. Slaa mgombea Urais wa Chadema 2010
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA0) Dr. Wilbroad Slaa amependekezwa kuwa Mgombea wa chama hicho kwa Kiti ch a Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Uamuzi wa kuingia kwenye...
 
Bunge lavunjwa; kinyang'anyiro cha uchaguzi kuanza
(1 vote)
Friday, 16 July 2010
Bunge lavunjwa; kinyang'anyiro cha uchaguzi kuanza
Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Jakaya Mrisho Kikwete amevunja Bunge leo hii kuashiria kuanza kwa mchakato wa kuelekea uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba mwaka huu. Akihutubia Bunge hilo la tisa kwa...
 
Sabodo aichangia CHADEMA milioni 100!
(1 vote)
Monday, 12 July 2010
Sabodo aichangia CHADEMA milioni 100!
Katika kuonesha ukomavu na uthubutu wa kisiasa mfanyabiashara biashara mkubwa nchini Bw. Mustaffa Jaffari Sabodo ametoa hundi ya shilingi milioni 100 kwa ajili ya kukisaidia Chama cha Demokrasia na Ma...
 
Shein mgombea Urais wa CCM Zanzibar
(0 votes)
Friday, 09 July 2010
Shein mgombea Urais wa CCM Zanzibar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Mohammed Shein amependekezwa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kuwa mgombea wa kitu cha Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha mapinduzi. Akiw...
 
Private media cry foul over gvt budget ads
(1 vote)
Thursday, 01 July 2010
Media owners are up in arms over the decision by some government ministries to exercise selective justice by denying private media houses advertisements, particularly those relating to the 2010/201...
 
<< Start < Prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Next > End >>

Results 10 - 18 of 198
Ni nani anafaa kuingoza Tanzania kama Rais kuanzia 2010-2015?
 

Photo Albums

Just $6.95/Mo
Unlimited Space, Unlimited Transfer, Free Domain
www.bluehost.com

MwanaKijiji.COM LIVE

Window Player   RealAudioPlayer   Itune Player