MwanaKijiji.COM

Friday
Jul 30th
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home arrow Siasa arrow Siasa
Siasa
CCM na Rushwa, hatimaye kuku wamerudi kutamia!
(0 votes)
Thursday, 29 July 2010
CCM na Rushwa, hatimaye kuku wamerudi kutamia!
Tumepiga kelele kwa miaka minne na kelele zetu zimebatizwa kuwa ni "chuki binafsi". Tumewapigia mbiu waamke lakini panda zetu zimekuwa ni "kelele za mlango" ambazo hazimzuii mwenye nyumba kulala. Tumesema mfumo wa utawala wa kifisadi nchini ni matokeo ya utawala wa CCM, wakatuambia kuwa 'ufisadi ni wa mtu mmoja mmoja na siyo chama". Wengine wakathubutu kutuambia kabisa kuwa "mafisadi ndani ya CCM ni wanne na wamefikishwa mahakamani". Tumesema ufisadi ni matunda na mazao ya utawala wa CCM na watu wengine wanasema tumefanya hivyo kwa sababu tuna &qu...
 
Dr. Slaa mgombea Urais wa Chadema 2010
(1 vote)
Tuesday, 20 July 2010
Dr. Slaa mgombea Urais wa Chadema 2010
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA0) Dr. Wilbroad Slaa amependekezwa kuwa Mgombea wa chama hicho kwa Kiti ch a Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Uamuzi wa kuingia kwenye...
 
Bunge lavunjwa; kinyang'anyiro cha uchaguzi kuanza
(1 vote)
Friday, 16 July 2010
Bunge lavunjwa; kinyang'anyiro cha uchaguzi kuanza
Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Jakaya Mrisho Kikwete amevunja Bunge leo hii kuashiria kuanza kwa mchakato wa kuelekea uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba mwaka huu. Akihutubia Bunge hilo la tisa kwa...
 
Sabodo aichangia CHADEMA milioni 100!
(1 vote)
Monday, 12 July 2010
Sabodo aichangia CHADEMA milioni 100!
Katika kuonesha ukomavu na uthubutu wa kisiasa mfanyabiashara biashara mkubwa nchini Bw. Mustaffa Jaffari Sabodo ametoa hundi ya shilingi milioni 100 kwa ajili ya kukisaidia Chama cha Demokrasia na Ma...
 
Shein mgombea Urais wa CCM Zanzibar
(0 votes)
Friday, 09 July 2010
Shein mgombea Urais wa CCM Zanzibar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Mohammed Shein amependekezwa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kuwa mgombea wa kitu cha Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha mapinduzi. Akiw...
 
Private media cry foul over gvt budget ads
(1 vote)
Thursday, 01 July 2010
Media owners are up in arms over the decision by some government ministries to exercise selective justice by denying private media houses advertisements, particularly those relating to the 2010/201...
 
Siasa zimechangia kudorora kwa mechi ya Brazil Vs TZ?
(0 votes)
Tuesday, 08 June 2010
Siasa zimechangia kudorora kwa mechi ya Brazil Vs TZ?
Kama kuna mechi ambayo ingetakiwa kujaza uwanja wetu mpya wa Taifa wenye uwezo wa kuchukua watu wapatao 60,000 ilikuwa ni mechi hii ya kuwaleta Brazil nchini siku chache kabla ya timu hiyo maarufu zai...
 
Serikali: Uchumi unakua kwa kasi
(0 votes)
Sunday, 30 May 2010
Serikali: Uchumi unakua kwa kasi
SERIKALI imesema kuwa ukuaji wa pato la taifa katika unakadiriwa kuongezeka na kwamba pato halisi litakua kwa asilimia 7 katika mwaka 2010. Akiwasilisha taarifa ya mwelekeo wa uchumi kwa mwaka 2009...
 
CCJ yatoa tamko kali dhidi ya Tendwa
(0 votes)
Wednesday, 26 May 2010
CCJ yatoa tamko kali dhidi ya Tendwa
Chama cha Jamii ambacho kimenuiwa kunyimwa usajili wa kudumu na Serikali inayodaiwa kuwa ni ya kidemokrasia ya Rais Jakaya Kikwete leo kimetoa majibu yasiyo na utata ya kwanini uamuzi huo ambao umek...
 
<< Start < Prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Next > End >>

Results 1 - 9 of 186
Just $6.95/Mo
Unlimited Space, Unlimited Transfer, Free Domain
www.bluehost.com

MwanaKijiji.COM LIVE

Window Player   RealAudioPlayer   Itune Player