MwanaKijiji.COM

Monday
May 21st
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home arrow Siasa arrow Siasa
Siasa
Kauli ya Malecela yawakoroga CCM
(1 vote)
Monday, 10 August 2009
Kauli ya Malecela yawakoroga CCM
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya  Chama Cha Mapinduzi(CCM), Bw. Salum Londa amesema viongozi na wanachama wa CCM wanaokitabiria mabaya chama hicho wanatia shaka. Kauli ya Bw. Londa imekuja siku chake baada ya Makamu Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Bw. John Malecela kutabiri kuwepo anguko kubwa la wabunge wa CCM katika uchaguzi mkuu ujao mwakani kama chama hakitajipanga.
 
Tunachogombania ni urithi wetu! - Ilani ya Maskini
(5 votes)
Monday, 04 May 2009
Tunachogombania ni urithi wetu! - Ilani ya Maskini
Wameutwaa urithi wetu wakagawana; Urithi huo waliogawana wamemegeana vipande vipande na kurithishana wao na watoto wao! Urithi wa taifa letu umekuwa wa kwao peke yao na sisi wengine tumeachiwa tugomba...
 
Rostam kuingia biashara ya TV?
(10 votes)
Saturday, 25 April 2009
Rostam kuingia biashara ya TV?
Habari ambazo zinaingia taratibu na kuthibitisha kile ambacho kimetarajiwa kwa muda mfanyabiashara maarufu toka Igunga na Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Rostam Aziz inadaiwa yuko mbioni kuingia katika...
 
Mramba kuitaja Ikulu kutamuokoa?
(5 votes)
Saturday, 18 April 2009
Mramba kuitaja Ikulu kutamuokoa?
 ALIYEKUWA Waziri wa Fedha, Basil Mramba jana aliieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa alitoa kibali cha usamehewa kodi kwa kampuni ya kutathmini uzalishaji wa madini ya Alex Stewart baada ...
 
"Andaeni maandamano kumpongeza JK" - Makamba
(2 votes)
Friday, 17 April 2009
KATIBU Mkuu wa CCM, Yussuf Makamba, amewaagiza makatibu wa CCM na jumuia zake ngazi za mikoa, kuandaa maandamano ya kumpongeza Rais Jakaya Kikwete na serikali, kwa kufanikiwa kutekeleza Ilani ya Uchag...
 
JK awabadilishia vituo wakuu wa mikoa
(0 votes)
Wednesday, 15 April 2009
JK awabadilishia vituo wakuu wa mikoa
Rais Kikwete ameamua kuwahamisha wakuu wa mikoa mbalimbali na kuwazungusha akiwabadilisha vituo vyao vya kazi. Rais ambaye ameanza ziara ya kikazi huko Saudi Arabia (kama tulivyoripoti jana) amefanya ...
 
Makuwadi wa ufisadi CCM wameguke!
(0 votes)
Wednesday, 08 April 2009
Makuwadi wa ufisadi CCM wameguke!
Kuna kundi la wanasiasa ndani ya Chama cha Mapinduzi ambalo linatakiwa limeguke kutoka chama hicho mapema iwezekanavyo. Kundi hilo ni la wale watu ambao wamefilisika kisiasa ambao wamebakia kuwa wat...
 
Picha ya Taifa linalopenda kuombaomba
(0 votes)
Thursday, 02 April 2009
Picha ya Taifa linalopenda kuombaomba
Katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi (iliyoko kwenye ukurasa huu) Rais Kikwete ameelezea kwa kirefu jinsi gani Tanzania na nchi nyingine za kiafrika zinavyosubiri hisani ya nchi tajiri kuweza kuzisai...
 
Hoja: Nani anaiongoza CCM ya leo?
(1 vote)
Wednesday, 01 April 2009
Hoja: Nani anaiongoza CCM ya leo?
MIAKA miwili iliyopita, niliandika makala ile ya ‘Kuanguka kwa CCM unabii utatimia”. Katika makala hiyo nilisema ifuatavyo wakati nafungua tu hoja yangu. “Nilikuwa natafakari maneno ...
 
<< Start < Prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Next > End >>

Results 82 - 90 of 198
Ni nani anafaa kuingoza Tanzania kama Rais kuanzia 2010-2015?
 

Photo Albums

Just $6.95/Mo
Unlimited Space, Unlimited Transfer, Free Domain
www.bluehost.com

MwanaKijiji.COM LIVE

Window Player   RealAudioPlayer   Itune Player