|
Friday, 21 March 2008 |
|
BAADHI ya waumini wa msikiti wa Ijumaa, mjini Mahenge, mkoani Morogoro, wamemgomea aliyekuwa Waziri wa Uchumi, Mipango na Uwezeshaji, Dk. Juma Ngasongwa kumfanyia ibada maalum ya dua kutokana na tuhuma za kushindwa kutekeleza ahadi katika jimbo lake. Chanzo cha habari kutoka katika mji huo kinasema, Dk. Ngasongwa ambaye pia ni Mbunge wa Ulanga Magharibi, alipata kadhia hiyo Ijumaa iliyopita alipomuomba Imamu wa msikiti huo, Sheikh Amani Rigaya, awaambie waumini kuwa anataka kufanyiwa dua maalumu. Chanzo hicho cha habari kilisema kuwa, uamuzi huo wa Dk. Ngasongwa kutaka afanyiwe dua hiyo ni ku...
|
|
|
Wednesday, 19 March 2008 |
|
Timu iliyoteuliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kupitia kwa kina mapendekezo yaliyotolewa na Kamati Teule ya Bunge iliyochunguza mkataba wa Richmond, imemaliza kazi yake na kukabidhi ripoti. Pinda a...
|
|
|
Friday, 29 February 2008 |
|
Aliyekuwa Waziri Mkuu, Bw. Edward Lowassa, amesema ameamua kufunga mjadala kuhusu kuhusishwa kwake katika kashfa ya zabuni tata ya umeme ya kampuni ya Richmond Development LLC. Akizungumza na Nipashe ...
|
|
|
Wednesday, 27 February 2008 |
|
THE US-based Richmond Development Company LLC (RDEVCO), which has turned out to be a legally non-existent entity, was awarded the 172.9bn/- power generation contract under dubious circumstances severa...
|
|
|
Friday, 22 February 2008 |
|
SAKATA la kampuni hewa ya kuzalisha umeme Richmond litawagusa vigogo wengine serikalini endapo watu waliowajibishwa watatakiwa kujitetea na kutoa ushahidi zaidi pia kuna uwezekano wa idadi ya Baraza l...
|
|
|
Sunday, 17 February 2008 |
|
Viongozi kadhaa wa chama cha Chadema wamejikuta wakipata kipigo wakiwa mikononi mwa Polisi jioni ya leo. KLH Imepata nafasi ya kuzungumza na mgombea wa Chadema kwenye uchaguzi huo mdogo Bw. Victor Kim...
|
|
|
Thursday, 27 December 2007 |
|
Mbunge wa Muleba Kusini Bw. Wilson Masilingi (CCM) mwishoni mwa juma amepingana hadharani na mkuu wa mkoa wa Kagera Bw. Mfura. Wakizungumza katika kikao cha mkoa kilichojadili uchomaji wa misitu kat...
|
|
|
Wednesday, 26 December 2007 |
|
SITAKI awepo wa kusema kwamba kwa umri wa miaka 46 ya uhuru wa kisiasa wa Tanganyika, “hakuna kilichofanyika.” Sitaki! Atakuwa anakataa kuona mengi ambayo watawala wamesimamia au wamepuuz...
|
|
|
Friday, 21 December 2007 |
|
Vyama vitano vya upinzani nchini vimeamua kuanzisha ushirikiano wa kisiasa Vyama vitano vya upinzani nchini vimeamua kuanzisha ushirikiano wa kisiasa baada ya kuona kile ambacho wamekiit...
|
|
|
<< Start < Prev 21 22 Next > End >>
|
| Results 190 - 198 of 198 |