MwanaKijiji.COM

Monday
May 21st
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home arrow Siasa arrow Siasa
Siasa
Serikali yakataa pendekezo la Zitto kutaifisha Dowans
(0 votes)
Sunday, 18 October 2009
Serikali yakataa pendekezo la Zitto kutaifisha Dowans
 HOJA ya mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma, Zitto Kabwe ya kutaka serikali itaifishe mitambo ya kuzalisha umeme ya kampuni ya Dowans Tanzania Limited, imevuta hisia tofauti huku serikali ikisema haitaweza kuitekeleza kwa kuwa haina sera ya utataifishaji. Kauli ya serikali imekuja siku moja baada ya Zitto kuwaambia waandishi wa habari kuwa serikali haina budi kufumba macho na kutaifisha mitambo hiyo ya Dowans ili kuiondoa nchi katika janga kubwa la ukosefu wa umeme linaloongeza ugumu wa maisha kwa wananchi na kuiingizia serikali hasara kubwa.
 
Chinese, Tanzania armed forces to strengthen cooperation
(0 votes)
Monday, 28 September 2009
Chinese, Tanzania armed forces to strengthen cooperation
Senior military officials from China and Tanzania on Thursday pledged to deepen substantial cooperation between the two armed forces.   "China and Tanzania share a profound traditional...
 
Mwinyi ampigia debe Anna Kilango
(0 votes)
Saturday, 26 September 2009
Mwinyi ampigia debe Anna Kilango
 Hali hiyo ilimfika juzi kwenye Kijiji cha Ndungu wilayani Same ambako alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za uzinduzi wa wodi ya watoto katika Kituo cha Afya Ndungu iliyojengwa na Mbunge wa Sa...
 
DED to be replaced as returning officers?
(1 vote)
Sunday, 20 September 2009
DED to be replaced as returning officers?
THE National Electoral Commission (NEC) is contemplating to employ its own officials in all districts to serve as returning officers, thus replacing the District Executive Directors (DEDs) to enhance ...
 
Gia ya Lowassa kurejea madarakani?
(1 vote)
Sunday, 13 September 2009
Gia ya Lowassa kurejea madarakani?
KUNA kila dalili kwa aliyekuwa Waziri Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa, kupitishwa na vikao vya juu vya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mgombea urais wa chama hicho katika Uchaguzi ...
 
Msichague mafisadi - Spika Sitta
(0 votes)
Monday, 07 September 2009
Msichague mafisadi - Spika Sitta
SPIKA wa Bunge Samuel Sitta, ameibuka kwa kasi mpya akionya wananchi wasifanye makosa kwa kuchagua mafisadi kwenye Uchaguzi Mkuu mwakani. Tayari joto la uchaguzi mkuu mwakani limeanza kupanda katika k...
 
Mbowe elected again to lead Chadema
(4 votes)
Saturday, 05 September 2009
Mbowe elected again to lead Chadema
Freeman Mbowe yesterday bounced back as national chairman of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) for another five-year term. Mbowe who was the lone contestant for the post secured 425 out o...
 
Sitta jemedari aliyesalimu amri?
(6 votes)
Tuesday, 18 August 2009
Sitta jemedari aliyesalimu amri?
Habari ambazo zimekuwa zikitiririka kwa muda wa masaa kadhaa yaliyopita zinatuthibitishia kuwa waoga wanaongoza CCM sasa hivi. Habari za kuwa Spika wa Bunge la Muungano alipewa kibano katika mojawapo ...
 
Mafisadi CCM wapo - Askofu Kilaini
(0 votes)
Wednesday, 12 August 2009
Mafisadi CCM wapo - Askofu Kilaini
ASKOFU Mkuu Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muhashamu Dkt. Methodius Kilaini amesema ufisadi ndani Chama Cha Mpinduzi (CCM) upo na haufichiki na dawa yake ni kuwang'oa wana...
 
<< Start < Prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Next > End >>

Results 73 - 81 of 198
Ni nani anafaa kuingoza Tanzania kama Rais kuanzia 2010-2015?
 

Photo Albums

Just $6.95/Mo
Unlimited Space, Unlimited Transfer, Free Domain
www.bluehost.com

MwanaKijiji.COM LIVE

Window Player   RealAudioPlayer   Itune Player