MwanaKijiji.COM

Wednesday
Feb 08th
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home arrow Siasa arrow Siasa arrow Bunge lavunjwa; kinyang'anyiro cha uchaguzi kuanza
Bunge lavunjwa; kinyang'anyiro cha uchaguzi kuanza
(1 vote)
Written by M. M. Mwanakijiji   
Friday, 16 July 2010
ImageRais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Jakaya Mrisho Kikwete amevunja Bunge leo hii kuashiria kuanza kwa mchakato wa kuelekea uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba mwaka huu. Akihutubia Bunge hilo la tisa kwa takribani masaa mawili na robo Rais Kikwete ameanisha yale ambayo ameyaelezea kuwa ni mafanikio ya serikali ya ngwe ya kwanza ya awamu ya nne huku akiahidi kuwa machache ambayo yaliahidiwa lakini hayajakamilishwa yatakamilishwa endapo wananchi watakipa chama chake nafasi nyingine ya kuliongoza Taifa.

Sehemu ya hotuba hiyo ya Rais Kikwete itapatikana katika mtandao wetu wa http://www.youtube.com/mwanakijiji na vile vile katika maandishi katika "facebook.com/mwanakijiji"

 Akihutubia ukumbi ambao leo ulikuwa umefurika karibu wabunge wote Rais Kikwete alielezea kwa urefu jinsi serikali yako ilivyofanikiwa kuongeza wingi wa vitu mbalimbali ambavyo viliahidiwa katika ilani ya uchaguzi ya CCM.  Pamoja na kuwashukuru wananchi Rais Kikwete alishukuru vyombo na taasisi mbalimbali ambazo kwa kiasi na namna yao ziliweza kuchangia katika kufanikisha utekelezaji wa shughuli mbalimbali za serikali. 

Comments (0)add comment

Write comment

busy
 
Ni nani anafaa kuingoza Tanzania kama Rais kuanzia 2010-2015?
 

Photo Albums

Just $6.95/Mo
Unlimited Space, Unlimited Transfer, Free Domain
www.bluehost.com

MwanaKijiji.COM LIVE

Window Player   RealAudioPlayer   Itune Player