NEWS
ELECTION 2010
Siasa
Mwanakijiji kuzungumza na PowerBreakfast Alhamisi | Mwanakijiji kuzungumza na PowerBreakfast Alhamisi |
| Written by M. M. Mwanakijiji | |
| Tuesday, 12 January 2010 | |
Napenda kuwataarifu kuwa nitakuwa hewani na kuzungumza na kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa na Clouds FM. Kwa sasa itakuwa baada ya saa mbili na nusu za asubuhi hivi na ninatumaini tutazungumza mengi yanayohusu mustakabali wa taifa letu hasa wakati huu ambapo tunashuhudia majanga ya mafuriko n.k Japo mahojiano yalikuwa yafanyike Jumatano lakini kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu Clouds FM waliamua kuyahamishia siku ya Alhamisi.
Set as favorite
Bookmark
Email This
Comments (6)
![]()
Azikiwe: ...
Safi sana mkulu, nimekupata, ngoja tufanye mpango tuwasilishe michango yetu
2
January 14, 2010
Votes: +0
Kama: ...
Ombi kama mazungumzo yamerekodiwa. Tunaomba weka kwenye podcast yako Mwanakijiji tuweze ku-access hayo mazungumzo hayo
3
January 14, 2010
Votes: +0
suwedinamaru: ...
mimi nafuatilia sana makala zako ambazo unaziandika katika magazeti mawilya mwanahalisi na tanzania daima nakupongeza sana kwa kazi mzuri uifanyayo nakuomba ukitoe tena kile kitabu ambacho kilikuwa kinahusu mambo ya meremeta kwa kipindi kile sikuwa na uwezo wa kukinunua kitabu kile kwa sasa naweza kukinunua na kumbuka ulielezea namna ya kukipata kile kitabu sasa naweza kukipata na kama uwezekano huo upo nitakipata vipi.mbona uliuza kwa nakala chache na kwa siri sana mbona mwenzako mzee wa kitabu cha mafisadi wa elimu amevimwaga bila uwoga,nakuamini sana na nakubali makala zako zilizo makini mno nakuombea maisha mema na marefu sana mi ni mmoja wa waumini wa sera na mtizamo sahihi,
5
February 08, 2010
Votes: +0
mf: ...
By the way kuna JamiiForums au ndio mkono wa mafisadi umeifuta?
ERROR The requested URL could not be retrieved -------------------------------------------------------------------------------- While trying to retrieve the URL: http://www.jamiiforums.com/ The following error was encountered: Connection to 174.36.210.144 Failed The system returned: (111) Connection refusedThe remote host or network may be down. Please try the request again. Your cache administrator is webmaster. 6
February 13, 2010
Votes: +0 Write comment
|
|
| Last Updated ( Wednesday, 13 January 2010 ) |