MwanaKijiji.COM

Friday
Jul 30th
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home arrow Siasa arrow Tusaidie vipi waliokumbwa na mafuriko?
Tusaidie vipi waliokumbwa na mafuriko?
(0 votes)
Written by M. M. Mwanakijiji   
Friday, 08 January 2010
ImageSalaam, niko katika mazungumzo na baadhi ya watu na taasisi ili tuweze kuona jinsi gani tunaweza kuwasaidia ndugu zetu walioathirika na mafuriko. Janga hili ni kubwa na juhudi za serikalipeke yake haziwezi kutosha. Kwa sisi tulio mbali tunaweza kutegemea zaidi watu walioko nyumbani kuweza kufanikisha shughuli hii. Natarajia hadi mwisho wa juma hili tutakuwa tumepata njia bora ya kuweza kuwasaidia ndugu zetu. Kama kuna mtu ana mapendekezo ya jinsi ya kufanya hivyo tafadhali niandikie kwa email ya This e-mail address is being protected from spam bots, you need JavaScript enabled to view it Shukrani.
Comments (0)add comment

Write comment

busy
 
Just $6.95/Mo
Unlimited Space, Unlimited Transfer, Free Domain
www.bluehost.com

MwanaKijiji.COM LIVE

Window Player   RealAudioPlayer   Itune Player