|
Friday, 21 December 2007 |
|
WAKATI leo Kocha Mkuu wa timu ya soka ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Marcio Maximo akiondoka nchini kwenda kwao Brazil kwa mapumziko, Rais Jakaya Kikwete, amemkingia kifua na kueleza kuwa bado ana imani naye na hivyo Watanzania wampe muda na ushirikiano katika jukumu lake la kuijenga Stars. Rais Kikwete alitoa kauli hiyo juzi, wakati wa mkutano wake na wahariri wa vyombo vya habari, katika kutimiza miaka miwili tangu alipoingia madarakani mwaka 2005. |
|
|
Tuesday, 18 December 2007 |
|
WAKATI Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limelaani vurugu zilizofanywa na mashabiki juzi katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro... |
|
|
Monday, 17 December 2007 |
|
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA), jana lilitoa viwango vipya vya ubora wa soka huku Tanzania ikichupa kutoka nafasi ya 103 hadi 89. Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na FIFA jana, miongoni mwa... |
|
|
<< Start < Prev 1 2 3 4 5 6 7 Next > End >>
|
| Results 55 - 57 of 57 |