MwanaKijiji.COM

Thursday
Mar 11th
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home arrow SOCCER arrow MAINLAND PREMIER LEAGUE
MAINLAND PREMIER LEAGUE
Yanga yachukua Ubingwa wa Tusker
(0 votes)
Tuesday, 29 December 2009
TIMU ya Yanga jana ilifanikiwa kunyakua kombe la Tusker baada ya kuifunga Sofapaka ya Kenya kwa mabao 2-1 katika fainali zilizofanyika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Licha ya kombe hilo, timu hiyo pia imezawadiwa kitita cha shilingi milioni 40 kwa ushindi huo.
 
Hasheem to enter NBA Draft
(1 vote)
Wednesday, 15 April 2009
University of Connecticut's Hasheem Thabeet, a 7-foot-3 center from Tanzania, has decided to enter the National Basketball Association draft, the university said Tuesday. ...
 
Tanzania Oyee!! Taifa Stars 1, Ivory Coast 0
(0 votes)
Wednesday, 25 February 2009
Tanzania Oyee!! Taifa Stars 1, Ivory Coast 0
Kibarua cha kocha wa timu ya Taifa ya Ivory Coast kinaelekea kuota nyasi baada ya timu kamambe ya Taifa Stars ya Tanzania kuibanjua timu yake bao moja bila katika michuano ya kwanza ya timu za Taifa z...
 
Kili Stars eye third slotKenya, Uganda in memorable Cecafa final
(0 votes)
Monday, 12 January 2009
KILIMANJARO Stars will be out in search for a third place in the Cecafa Senior Challenge Cup tie against Burundi, at the Mandela National Stadium (Namboole) today. The third place play off will start ...
 
Thabeet powers up
(0 votes)
Thursday, 11 December 2008
Thabeet powers up
His basketball prowess has yet to earn him a penny. Still, by the time Hasheem Thabeet’s plane touched down in his native Tanzania two summers ago, the crowd had become so large that police cl...
 
Sita kuachwa safari ya Taifa Stars Sudan
(1 vote)
Thursday, 04 December 2008
Sita kuachwa safari ya Taifa Stars Sudan
Wachezaji sita wataachwa katika msafara wa timu ya soka ya taifa, Taifa Stars wa kwenda Sudan kwa mechi ya marudiano ya mechi ya mtoano ya kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zina...
 
Yanga yainyuka Simba 1 - 0
(2 votes)
Sunday, 26 October 2008
Mechi ya watani wa jadi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imemalizika muda mfupi uliopita katika Uwanja Mpya wa Taifa jijini Dar ambapo timu ya Yanga imeichapa Simba bao moja mtungi. Katika mechi hiyo il...
 
Stars yashinda
(1 vote)
Sunday, 12 October 2008
SIJUI walikuwa wapi…wanakumbuka shuka kumekucha…Stars imekipiga sana leo… ni kauli za mashabiki baada ya mchezo kati ya Taifa Stars na Cape Verde ambao ulimalizika kwa wenyeji kui...
 
Yanga yajipa ujiko
(1 vote)
Monday, 22 September 2008
MASHABIKI wa timu ya soka ya Yanga jijini Dar es Salaam wamesifu kiwango kinachoonyeshwa na timu yao katika Ligi Kuu Tanzania Bara huku wakitamba kuendelea kushikilia taji la ligi hiyo msimu huu tena....
 
<< Start < Prev 1 2 3 4 Next > End >>

Results 1 - 9 of 36
Just $6.95/Mo
Unlimited Space, Unlimited Transfer, Free Domain
www.bluehost.com

MwanaKijiji.COM LIVE

Window Player   RealAudioPlayer   Itune Player