MwanaKijiji.COM

Wednesday
Feb 08th
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home arrow Sports arrow Michezo arrow Tanzania Oyee!! Taifa Stars 1, Ivory Coast 0
Tanzania Oyee!! Taifa Stars 1, Ivory Coast 0
(0 votes)
Written by M. M. Mwanakijiji   
Wednesday, 25 February 2009
Taifa Stars Kibarua cha kocha wa timu ya Taifa ya Ivory Coast kinaelekea kuota nyasi baada ya timu kamambe ya Taifa Stars ya Tanzania kuibanjua timu yake bao moja bila katika michuano ya kwanza ya timu za Taifa za wachezaji wa ndani (CHAN) inayofanyika huko Ivory Coast. Bao hilo la Tanzania lilifungwa kwa gonga moja ya kichwa ya mshambuliaji machachari Mrisho Ngassa(pichani kushoto). Timu ya Tanzania ikicheza kwa kujiamini chini ya kocha wake Mbrazili Maximo iliweza vyema kulinda bao hilo liliopatikana dakika ya 38 ya mchezo huo. Kwa ushindi huo timu hiyo ya Tanzania imejiweka katika nafasi nzuri ya kuendelea na mashindano hayo.

Mechi hiyo ambayo dakika za mwisho zilitafsiriwa na mashabiki wa Tanzania kama jitihada za refarii kuibeba Ivory Coast ilikuwa ni ya kusisimua na yenye mvuto wa aina pekee ambapo timu hiyo changa ya Tanzania imezidi kujijengea jina katika eneo la Afrika ya Magharibi.

 

Comments (5)add comment
Kama: ...
February 25, 2009
Votes: +1
kitego: ...
safi sana,kwa kutia bidii zaidi tutasonga mbele,nia tunayo na nguvu tunazo!! nawatakia mema katika next game!-thx
2

February 26, 2009
Votes: +1
FRED: ...
Brovo GUYS!
That what we want...?
3

February 26, 2009
Votes: +0
Ngonalugali: ...
Hongera Taifa Stars, Hongera watanzania kwa support.

Ila nina ka-swali..... ulizaa.....
Hivi nji hii haina waandishi wa habari wa kimataifa? Nashangaa kwamba ushindi wa Taifa Starz siuoni kwenye mitandao mikubwa ya michezo ingawa nimesoma habari za timu ya Zambia ambapo mwisho wamegusia kuwa wenyeji watachuana na tanzania.
4

February 26, 2009
Votes: +0
NNH: ...
March 01, 2009
Votes: +0

Write comment

busy
Last Updated ( Thursday, 26 February 2009 )
 
Ni nani anafaa kuingoza Tanzania kama Rais kuanzia 2010-2015?
 

Photo Albums

Just $6.95/Mo
Unlimited Space, Unlimited Transfer, Free Domain
www.bluehost.com

MwanaKijiji.COM LIVE

Window Player   RealAudioPlayer   Itune Player