MwanaKijiji.COM

Friday
Jul 30th
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home arrow Sports arrow Michezo arrow Yanga yachukua Ubingwa wa Tusker
Yanga yachukua Ubingwa wa Tusker
(0 votes)
Written by Global Publishers   
Tuesday, 29 December 2009
Article Index
Yanga yachukua Ubingwa wa Tusker
Page 2
Page 3
Page 4
TIMU ya Yanga jana ilifanikiwa kunyakua kombe la Tusker baada ya kuifunga Sofapaka ya Kenya kwa mabao 2-1 katika fainali zilizofanyika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Licha ya kombe hilo, timu hiyo pia imezawadiwa kitita cha shilingi milioni 40 kwa ushindi huo.

YANGA KIDUME KOMBE LA TUSKER
Kikosi cha Yanga kilichoiua Sofapaka.

YANGA KIDUME KOMBE LA TUSKER
Kombe hili ndilo walilokabidhiwa Yanga.

YANGA KIDUME KOMBE LA TUSKER
Wachezaji wa Yanga wakishangilia baada ya mpira kumalizika.

YANGA KIDUME KOMBE LA TUSKER
Mshambuliaji wa Yanga, Jerry Tegete (kulia), akiwa na kombe baada ya kukabidhiwa kwa kuwa mfungaji bora katika michuano hiyo.

YANGA KIDUME KOMBE LA TUSKER
Waziri wa Utamaduni na Michezo, Capt. George Mkuchika (kushoto), akimkabidhi kombe la Tusker nahodha wa Yanga, Abdi Kasim.



Last Updated ( Tuesday, 29 December 2009 )
 
Just $6.95/Mo
Unlimited Space, Unlimited Transfer, Free Domain
www.bluehost.com

MwanaKijiji.COM LIVE

Window Player   RealAudioPlayer   Itune Player