MwanaKijiji.COM

Wednesday
Feb 08th
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home arrow Sports arrow Michezo arrow Yanga yachukua Ubingwa wa Tusker
Yanga yachukua Ubingwa wa Tusker
(0 votes)
Written by Global Publishers   
Tuesday, 29 December 2009
Article Index
Yanga yachukua Ubingwa wa Tusker
Page 2
Page 3
Page 4
Nurdin Bakari wa Yanga (kushoto) akijaribu kumhadaa beki wa Sofapaka, Wanyama Thomas.

YANGA KIDUME KOMBE LA TUSKER
Maafande wa kikosi cha kutuliza ghasia ‘FFU’ wakinunua jezi za Yanga uwanjani hapo.

YANGA KIDUME KOMBE LA TUSKER
Kiungo wa Yanga, Athumani Idd ‘Chuji’ (kulia), akijiandaa kuachia shuti mbele ya kipa wa Sofapaka, Wilson Obungu.

YANGA KIDUME KOMBE LA TUSKER
Obungu akinyaka shuti miguuni mwa Chuji, kitendo kilichosababisha aumie.

YANGA KIDUME KOMBE LA TUSKER
Obungu akiugulia maumivu baada ya kugongana na Chuji.

YANGA KIDUME KOMBE LA TUSKER
Refa wa mpambano huo, Dennis Batte, anayeingiza mkono mfukoni, pamoja na wasaidizi wake, wakitolewa nje ya uwanja na askari wa kutuliza ghasia FFU baada ya kutishiwa amani na kipa wa Sofapaka, Wilson Obungu.

YANGA KIDUME KOMBE LA TUSKER
Kipa wa Sofapaka (mwenye jezi nyekundu anayelia) akishikwa ili asiendelee kufanya vurugu.

PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS - 0713562001 /GPL

Comments (0)add comment

Write comment

busy

Last Updated ( Tuesday, 29 December 2009 )
 
Ni nani anafaa kuingoza Tanzania kama Rais kuanzia 2010-2015?
 

Photo Albums

Just $6.95/Mo
Unlimited Space, Unlimited Transfer, Free Domain
www.bluehost.com

MwanaKijiji.COM LIVE

Window Player   RealAudioPlayer   Itune Player