|
Yanga yainyuka Simba 1 - 0 |
|
Written by Mwanakijiji
|
|
Sunday, 26 October 2008 |
|
Mechi ya watani wa jadi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imemalizika muda mfupi uliopita katika Uwanja Mpya wa Taifa jijini Dar ambapo timu ya Yanga imeichapa Simba bao moja mtungi. Katika mechi hiyo iliyokuwa imejaa kila aina ya vituko kama kawaida yake ni wana "Kandambili" ambao wameibuka kidedea na bila ya shaka kuongezea tafrani ya watani wao wa jadi mtaa wa Mzimbazi (Taifa Kubwa). Stay tuned...
|
|
Last Updated ( Sunday, 02 November 2008 )
|