Swali la Ugomvi: Serikali ikipiga marufuku mitandao ya kijamii Tanzania utakubaliana nayo?
Swali la uchochezi: Je utafanya nini kama Serikali ya Tanzania ikiamua kuzuia mtandao wa Facebook, Twitter, Youtube na JamiiForums kutumika nchini (Walioko Tanzania wasiweze kuipata) ili kudumisha amani, umoja na utulivu na kuondoa uchochezi kwa vile mitandao hiyo inadaiwa "kuandika mambo ya uchochezi na kuchafua viongozi na serikali ya CCM"? … [Soma Zaidi...]
Wamachinga wasifukuzwe mijini!
Kwanini serikali (manispaa mbalimbali) zinajitahidi sana kuwakufuza wamachinga mijini? Tumeona haya Dar, Mwanza, na sasa Iringa; na tumeona pia Arusha. Hivi hawa wanaofanya hivi hawajafika kwenye miji mikubwa duniani ambapo nafasi ya wafanyabiashara ndogondogo ni sehemu ya mfumo wa uchumi wa mji? Ni kweli hakuna mtu anayefikiria namna ya kuwaaccommodate wamachinga katika majiji yetu? Kwanini … [Soma Zaidi...]
Wimbo Niupendeao- Bushoke “Dunia”
Naamini mojawapo ya nyimbo za kuvutia sana na ambazo ala zimecharazwa vizuri, beti zimepangwa zikapangika na kuthibitisha kuwa Bushoke ni miongoni mwa waimbaji (vocalist) wa kizazi chake. Sauti yake inanikumbusha sana ya Zico Zengekala! BUSHOKE DUNIA NJIA http://www.youtube.com/watch?v=aqFJ_Uccqmc … [Soma Zaidi...]
NSSF na “double standard” ya kudai madeni?
Tunaambiwa na watetezi wa NSSF kuwa kufukuzwa kwa Dr. Masau kwa nguvu na kuondolewa katika pango la NSSF ilikuwa ni kwa sababu "NSSF ilikuwa inawadai na ilikuwa na haki ya kuwafukuza kwa sababu kulikuwa na amri ya mahakama". Kwamba deni walilokuwa wanaidai Taasisi ya Moyo ya Tanzania (THI) lilikuwa kubwa kiasi kwamba hakukuwa namna yoyote ya kuona jinsi ya kuwasaidia. Serikali ya CCM kupitia … [Soma Zaidi...]
Pendekezo: Wagombea CDM wawe angalau na mwaka mmoja na nusu wa uanachama!
(Pichani Katibu Mkuu wa CDM Dr. Slaa akihutubia makumi elfu ya wanachama, mashabiki na wapenzi wa CDM Mkoani Mwanza wakati akipeperusha bendera ya kugombea Urais mwaka 2010) Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2014 na chaguzi za Wabunge na Rais mwaka 2015 Chama cha Demokrasia kiweke utaratibu ambapo watu wote wanaotaka kugombea uongozi ndani ya chama hicho - iwe nafasi za chama - au za … [Soma Zaidi...]
Ujinga unapopewa Kiti, hekima inapozibwa macho – Tukio la Arusha ni la kidini?
Ujinga ni hali mbaya sana ya kiakili; lakini pia ni hali njema sana ya akili ya mwanadamu. Ujinga - ni hali ya kutokujua kitu ambacho mtu aweza akajulishwa, akakipokea na ule ujinga kumtoka. Ujinga basi ni sehemu muhimu ya maisha ya mwanadamu kwani ni katika kuwa wajinga ndio tunatoka na kujifunza vile tusivyovijua. Kwa vile akili ya mwanadamu ina ukomo wake basi kila mwanadamu kwa asili yake … [Soma Zaidi...]