HATIMAYE Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimejaribu kuonyesha kuwa kinajali nadharia na tunu ya demokrasia isemayo ‘wengi wape’. Japo kihistoria tunajua kuwa si mara zote wengi wamepewa licha ya kupigwa kura ya maoni. Mara kadhaa sasa tunakumbushwa kuwa CCM ilifanya hisani ya kurudisha vyam... full story...